Joshua 7:7

7 aYoshua akasema, “Ee Bwana Mwenyezi, kwa nini umewavusha watu hawa ng’ambo ya Yordani ili kututia mikononi mwa Waamori watuangamize? Laiti tungeliridhika kukaa ng’ambo ile nyingine ya Yordani!
Copyright information for SwhKC